Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu hii nimeikuta imelala Wangutwa Wanging'ombe, pana njia panda na inaonekana mwamba kona ilimsView attachment 2392243hinda
Duuu, miguu juu loo, tujifunze kitu muhimu kwenye huu uendeshaji ili kupunguza hii, yes speed sio nzuri ila sio speed pekee inayosababisha ajali, ni lazima dereva ujue fast na slow corners, na pia ujue breaking points zake, na jitahidi usiingie na heavy break kwenye corners, na pia endesha kwa kufuata driving line,sio road line ili kupata balance nzuri ya gari, na mwisho ukipata fedha...Mercedes Benz ndio gari salama hutakuja kuiona miguu juu!!!
 
Unachoongea ni sahihi mkuu, ila hata hizo meck miguu juu zinaenda vizuri tu. Hii ipo miguu juu...
Cha msingi bila kujali unaendesha Bimmer au passo usioverspeed...
 
Asubuhi ya jana Njombe Town, mjini hapa oana traffic light mbili sasa. Hii ni ya zebra ya stendi ya zamani.View attachment 2392246
Nilipita hapo juzi niliona kuna taa kule kibena, stand ya zamani na huku juu kama unakuja stand mpya... hii idea inatakiwa waidapt haraka sana mbeya hasa pale uyole, ilomba, kabwe na mwanjelwa
 
View attachment 2391796

Imeisha. Hiyo miti yenye maua/majani ya purple sijawahi kuiona before. Ni nini?
Moshi Jacaranda zipo pia, ukitoka YMCA ukashika njia barabara ya Shanty Town hii ya CCP inayopitiliza mpaka Junction ya hapa karibu na Uhuru Hostel ipo mingi tu. Pia around Shanty Town humo kwenye mitaa kadhaa ipo. Arusha pia in some places ipo, na hii ndio miezi yake ya kuchanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…