Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hilo tu au kuna njia nyingine mzee tushirikishe
 
Hivi hii road mkandarasi yupo site kutia lami ya kwenda kutokea Lupembe Njombe ama bado mipango ipo kwenye makaratasi tu?? Hali yake kwa sasa ni vipi, yaweza pitika na gari yoyote ama namna gani?
Ah wapi ni vile vile mkuu naona bado Wana survey [emoji2] kipande ambacho naona kinawekwa lami ni mikumi-luaha-ifakara kwanzia ifakara Hadi njombe via mlimba,mngeta hamna kitu
 
[emoji3][emoji2][emoji16] hii ni Kali ya mwaka rim ilipona kweli
 
Wakuu wazoefu kuna impact gani mtu akijifunza kuendesha gari halafu akakaa muda bila kuendesha gari. Nataka nijifunze lakini sina ndinga kwa sasa.

Jifunze ujue sio gari tu hata pikipiki halafu ukiweza tafuta ukate na leseni kabisa, halafu utafute na passport ya kusafiria viwepo ndani na muda ukiisha haujasafiri basi unaenda tu kurenew, lazima uwe kisasa na uwe mbele ya muda
 
Wakuu wazoefu kuna impact gani mtu akijifunza kuendesha gari halafu akakaa muda bila kuendesha gari. Nataka nijifunze lakini sina ndinga kwa sasa.
Kwa sasa ujuzi wa kuendesha gari ni ujuzi wa msingi kabisa kuwa nao kama tu kutumia computer, kuongea lugha mbalimbali za Kimataifa n.k Hujui ni siku ipi huo ujuzi utakufaa wewe ama jamii ikuzungukayo. Jifunze sasa, magari ya mazoezi utayaona ukishafuzu na utajishangaa why 'umechelewa' [emoji4][emoji4] Kila la heri
 
[emoji3][emoji2][emoji16] hii ni Kali ya mwaka rim ilipona kweli
Ilipona ila tulitembea polepole sana. Kitu kama 5km au 10km per hour nahisi ndo ulikua mwendo wetu. Hapo tumetoka mlimba saa mbili asubuhi ila tuliingia Ifakara saa nne usiku na Moro mjini saa kumi alfajiri. Mwendo wa pancha tu, barabara ilikua na mawe utafikiri yamechongwa na watu kwa namna yalivyokua na ncha kali
 
Duuu mlimba adi ifakara kama umenyoosha mguu 2hrs kwa Ile road ukiamua Hadi 1h unafika
 
Duuu mimba adi ifakara kama umenyoosha mguu 2hrs kwa Ile road ukiamua Hadi 1h unafika
Safari ilikua na majanga tu hiyo siku. Kwanza tulipewa tairi moja na jamaa wa noah, ila matundu ya studs hayafanani, kuagiza tairi kutoka ifakara zimefika saa kumi jioni na zenyewe tumeletewa feki, maana kuziweka upepo tu zikaanza kuvimba, tulikosa tairi hata used pale chita. Ikabidi tufunge tairi la mkokoteni ndo tukafanikiwa kufika Ifakara kwa mwendo mdogo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…