Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa road trip naomba kujuzwa muda mzuri wa kutoka makambako kwenda Dar lakini nisikutane na wazee wa kutanua(Bus Eg Sauli ) pale IYOVI ? Sitaki kabisa kukutana na hawa Jamaaaa mwendo wangu ni 80-100km/he sizidishi
80km to 100km/h utakutana na wazee wa vitochi vya 50km,muda mzuri ni usiku tu, ondoka hapo makambako at 18:00hrs, ukifika iringa at 21:00hrs unaanza to treck tankers zinazorudi tupu, zinasaidia to clear your way ila lazima tank driver umpe respect yake, don't tailgate him pls, atachukia
 
Wakuu naombeni code za kutosumbuliwa na askari barabarani ukiwa na ndinga kubwa ya heshima
Ukiwa na Land Cruiser series 70s,100,200,300 au Nissan Patrol y61 hawana habari na wewe. Kama gari za mzungu weka bendera ya chama ndani kwenye rear view mirror,kama gari ina tyre spare funika na wheel cover ya tangazo la URA Saccoss, Taasisi za ulinzi au mashirika makubwa hutapunguza mikono ya traffic
 
Umetisha man


Nilisafiri na chalii mmoja hivi kwenye fortuner akaniambia washa dim lights na double hazard afu pandisha vioo maana gari iko na tinted kalii halafu tembea

Nakumbukaa njia nzima hamna askari aliyetusumbua na gari za kawaida zikawa zinatupisha yani ilikua mwendo mdundo chapa ilale
 
Welldone, Lufuna ...Jina hili Nina historia nalo sana..ni Jina la kijiji fulani wilaya ya Mufindi..looooooo maisha yale, Jina hili limerudisha good memory yangu
Mnyalukolo? Lufuna, Mufindi ni shina la familia yangu. Marehemu babu yangu alikuwa pale. Na mimi nilipapenda sana toka utotoni. Likizo nyingi nilikuwa nikimtembelea babu! Great memories!
 
Mnyalukolo? Lufuna, Mufindi ni shina la familia yangu. Marehemu babu yangu alikuwa pale. Na mimi nilipapenda sana toka utotoni. Likizo nyingi nilikuwa nikimtembelea babu! Great memories!
We have something in common kuhusu kijiji hiki cha Lufuna, shangazi yangu amepumzika pale kwa mapumziko yake ya milele, looo kuishi Lufuna village shule Kibao, asubuhi lilikua zoezi tosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…