Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Moshi mpaka makambako road sio mbaya kivile makambako tu songea ndio inatakiwa umakini na ilo tako la nyani na kona sio mchezo.kama unarudia mbeya kutoka kyela kuja uyole napo umakini pia na hizi mvua usije kuingia porini
Tako la nyani safari za mbali huwa n gari moja zuri sana... long trip... inateleza tu... afu pemben umeweka Kvaaaaaa safari n tamu mnoooo aiseee...
 
We Mama Nanayakala umemuacha wapi Mwl Kitutu? Sasa kule mlimani nakupitia lini? Siku zinakaribia.

Yaani weee Baba Taibali....
Nimetabasamu weeh halafu nimechekaaa......😁😁😁😁

Haki umeniweza...😅😅😅

Leo jioni nakunywa kahawa nikiwa Mambo View, hapo nakusubiria wewe unipitie....

Missed you alot...😊😊🥰.

NB: Hivi upo kwenye group la Muhi2?
Mimi sipo ila najua lipo, umemtaja huyo mama nimekumbuka mbaliii...😇.
 
Nitakushtua nikipita Mombo ndani ya wiki hii inayokuja. Huwa sipo group yoyote.
 
Ile barabara ya kyela-uyole-mbeya ndo siiifaham kbsaa .. unaweza nipa hits.. iliwakat wa kurud niwe na ABC nayo..
Ile sio mbaya sana wakati wa kurudi kutoka kyela kuna kona chache kule kwenye mashamba ya majani ya chai maana kutoka kule asilimia kubwa unapanda kuja mbeya labda kidogo hii kushuka kuja uyole sema ukikutana na mvua kua mpole maana barabara yenyewe sehemu hua inateleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…