Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

So nikiwa mbaba bay afu sitak kupitia makambako nipite road ipi..?? Wakat wa kurud..??
mkuu,ni bora upite tu Makambako ndio njia rahisi kwako kwa kwenda Kyela.
kama kweli umekusudia ilimradi njia ya kukufikiaha Kyela,bhas ukifika Njombe ulizia barabara inayoenda Hospitali ya Ikonda,then kula hilo border(ni barabara ya hovyo sana japo mangalangala ya Japannese hupita humo) hii barabara hutokezea nafikiri ni kabla ya Tukuyu then nenda huko Kyela.
ila niamini mimi,kama utapita njia hii ndo itakuwa mara yako ya kwanza na ya mwisho kiufupi utajuta kuzaliwa
 
Chief hapo mwisho ulipotia msisitizo mpk mwili umesisimukaaa
 
Driving sio speed pekee, usalama wako na wengine ni key factor, Umeonywa kuhusu Makambako to Songea, ni kweli kuna Lukumburu Pass, ni balaa tupu na Dodoma to Iringa kuna nyang'olo Pass, ni kuwa safe mkuu
Msizisahau Kona za kolo. Ziliongozana ajali pale mpaka wameitwa wataalam wafanye utafiti upya. Mara chache utasikia ajali za nyan'goro lakini kolo ni kila kukicha
 
Atajuta kuzalia loh hahaha
 
Pole na hongera.
 
unatokea Isyonje hiyo, ila huko atazunguka sana
 
Tako la nyani safari za mbali huwa n gari moja zuri sana... long trip... inateleza tu... afu pemben umeweka Kvaaaaaa safari n tamu mnoooo aiseee...
Kwamba mtu hawezi kaa hata masaa machache bila kujilipua na kvant?

Ndio maana ajali haziishi. Vijana kuendekeza ulevi hasa wakati wa mambo ya hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…