Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Wakuu hawa wazee wa Simba ndo walikuwa wachawi wa kuzuia maendeleo ndani ya Simba,sasa hivi wamekosa nguvu wanatapatapa. Hawa wazee wangejiheshimu na kuacha vurugu Simba isingewatupa. Leo hii hawana mbele wala nyuma wanatapatapa tu na hoja za ajabu ajabu.
Simba ilikuwa inashindwa kupiga hatua kwasababu ya hao wazee.
Leo kwenye mshike mshike nimewasikiliza baadhi ya wazee wa Simba wakilakamikia jezi mpya kwamba "inakuwaje Simba ina jezi ya njano na nyeusi?sisi Simba tunayojua jezi yao ni nyekundu na nyeupe tu"
Ukiangalia wanatapatapa tu,hamna jezi ya njano iliyotolewa na ukiangalia jezi ya kipa tu,hivi hii jezi ni njano?
Hawa wazee wangekuwa na nguvu kila saa wangekuwa mwanya wa vurugu ila sasa hawana nafasi tena.