Wazee wa Simba ndo waliokuwa wananyima maendeleo

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wakuu hawa wazee wa Simba ndo walikuwa wachawi wa kuzuia maendeleo ndani ya Simba,sasa hivi wamekosa nguvu wanatapatapa. Hawa wazee wangejiheshimu na kuacha vurugu Simba isingewatupa. Leo hii hawana mbele wala nyuma wanatapatapa tu na hoja za ajabu ajabu.

Simba ilikuwa inashindwa kupiga hatua kwasababu ya hao wazee.
Leo kwenye mshike mshike nimewasikiliza baadhi ya wazee wa Simba wakilakamikia jezi mpya kwamba "inakuwaje Simba ina jezi ya njano na nyeusi?sisi Simba tunayojua jezi yao ni nyekundu na nyeupe tu"

Ukiangalia wanatapatapa tu,hamna jezi ya njano iliyotolewa na ukiangalia jezi ya kipa tu,hivi hii jezi ni njano?

Hawa wazee wangekuwa na nguvu kila saa wangekuwa mwanya wa vurugu ila sasa hawana nafasi tena.
Screenshot_20190801-233101_Instagram.jpeg
 
safi mikia fc aka mbumbumbu fc
binafsi naungana nanyie kuleta mabadiliko kwenye soka na uendeshaji wa team achaneni na omhaomba wa njano aka vyura fc
 
Kabsa hawa wazee wafikie mahari wajitafakali watulie tu waache simba isonge mbele maana tumewakabidhi Team kwa miaka ming Sana lakani wakashindwa kufanya haya yanayo fanyika kwa wakati huu
 
Hivi mzee Kilomoni kuitisha press conference na kusema kua yeye bdo ni mdhamini wa simba kuna msaidia nini?
Ka anajua ana haki si aende mahakamani.
Afu Jana nimemsikia akisema eti MO anataka hati ili akopee bank billion 30 afu ili simba ikishindwa kulipa jengo lichukuliwe.
Sasa nimejiuliza hivi ni bank ipi ya kuipa simba billion hata kumi kwa ajili ya jengo la simba lile. Aache kutufanya wote wazee.
Afu kingine cha ajabu yule anajiita katibu wa wadhamini siku moja yupo EFM anaulizwa ulichanguliwa na nani huo ukatibu anashindwa kujibu anasingizia eti sio lililomleta.
Mzee Kilomoni utapiga kelele ukimaliza unakuta simba ina uwanja wake.
 
Kwa hiyo?Inakuhusu nini?Unalipa wewe?Kachangie vyura wenzako.
 
Huwa najiuliza hivi Mzee Hamisi Kilomoni anapata wapi kibri ya kuwakera zaidi ya Watanzania milioni ishirini?
 
Unafikiri ni kiburi?Ni kutapatapa tu.Njaa mbaya sana. Alikuwa anaitumia Simba kama kitega uchumi. Unyonyaji huo umesitishwa.Kuna wazee wengi waliochezea Sunderland na baadaye Simba lakini walijitafutia njia zingine za kujikimu kimaisha.Kilomoni hana namna inabidi aendelee na maisha yake nje ya Simba kwani Simba sio mama yake au baba yake.
 
Afu kingine cha ajabu yule anajiita katibu wa wadhamini siku moja yupo EFM anaulizwa ulichanguliwa na nani huo ukatibu anashindwa kujibu anasingizia eti sio lililomleta.
Wazee wanaogopa njaa 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Cha ajabu katika hao wazee waliokua wanahojiwa mmoja kavaa tracksuit ya njano na blue
Nimeshangaa ile press conference ya mwisho ya mzee Kilomoni anasema umeona sasa saizi wametuletea njano, wakati huo huo yeye kavaa ya njano.
Nikajuiliza hivi waandishi wa habari wa bongo wnapangiwa maswali ya kuuliza kabla ya press conference
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivi mzee Kilomoni kuitisha press conference na kusema kua yeye bdo ni mdhamini wa simba kuna msaidia nini?
Ka anajua ana haki si aende mahakamani.
Afu Jana nimemsikia akisema eti MO anataka hati ili akopee bank billion 30 afu ili simba ikishindwa kulipa jengo lichukuliwe.
Sasa nimejiuliza hivi ni bank ipi ya kuipa simba billion hata kumi kwa ajili ya jengo la simba lile. Aache kutufanya wote wazee.
Afu kingine cha ajabu yule anajiita katibu wa wadhamini siku moja yupo EFM anaulizwa ulichanguliwa na nani huo ukatibu anashindwa kujibu anasingizia eti sio lililomleta.
Mzee Kilomoni utapiga kelele ukimaliza unakuta simba ina uwanja wake.
Hivi mtu anacheza bao kutwa nzima hana anachofanya alafu anajifanya yeye mdhamini wa Simba, Mo kaza hata hamsini ya maji wasipate wakalime. Hatuendelei kwa sababu ya watu kama hawa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivi mzee Kilomoni kuitisha press conference na kusema kua yeye bdo ni mdhamini wa simba kuna msaidia nini?
Ka anajua ana haki si aende mahakamani.
Afu Jana nimemsikia akisema eti MO anataka hati ili akopee bank billion 30 afu ili simba ikishindwa kulipa jengo lichukuliwe.
Sasa nimejiuliza hivi ni bank ipi ya kuipa simba billion hata kumi kwa ajili ya jengo la simba lile. Aache kutufanya wote wazee.
Afu kingine cha ajabu yule anajiita katibu wa wadhamini siku moja yupo EFM anaulizwa ulichanguliwa na nani huo ukatibu anashindwa kujibu anasingizia eti sio lililomleta.
Mzee Kilomoni utapiga kelele ukimaliza unakuta simba ina uwanja wake.
Wazee ovyo hivi mo ashindwe kukopa benk kweli achukue hati akakopee si upuuzi huu
 
Mshahara mdogo sana huo, wamuongeze angalau ufike 45ml.
Zama zimeshabadirika, kama hoja ya Kilomoni na kigenge chake kinahusu mshahara wa mtendaji mkuu basi hawana cha kusikilizwa
Magori mshahara wake 15m..kwa mwezi
 
Wakuu hawa wazee wa Simba ndo walikuwa wachawi wa kuzuia maendeleo ndani ya Simba,sasa hivi wamekosa nguvu wanatapatapa. Hawa wazee wangejiheshimu na kuacha vurugu Simba isingewatupa. Leo hii hawana mbele wala nyuma wanatapatapa tu na hoja za ajabu ajabu.

Simba ilikuwa inashindwa kupiga hatua kwasababu ya hao wazee.
Leo kwenye mshike mshike nimewasikiliza baadhi ya wazee wa Simba wakilakamikia jezi mpya kwamba "inakuwaje Simba ina jezi ya njano na nyeusi?sisi Simba tunayojua jezi yao ni nyekundu na nyeupe tu"

Ukiangalia wanatapatapa tu,hamna jezi ya njano iliyotolewa na ukiangalia jezi ya kipa tu,hivi hii jezi ni njano?

Hawa wazee wangekuwa na nguvu kila saa wangekuwa mwanya wa vurugu ila sasa hawana nafasi tena.View attachment 1169939
Kwani simba imepiga hatua gani? Simba na Yanga ni machaka ya ulaji. Wanatofautiana tu nani ale nini na lini kwa masharti kwamba wanamfunga yanga au simba. Hao akina mo na henge lake wanaitafuta simba ila tumechomwa sindano ya ganzi kwa kushinda mechi
 
Back
Top Bottom