hapa kwa wazimbabwe ndio tunakwamia hapa wakija wanapaki tu basi game inaisha kwa suluhu tunatoka na ubingwa mwaka huu hatumoNi ukweli usiopingika klabu bingwa Simba kutoboa msimu huu labda tutumie majini.kanji bhai aweke fungu kwaajili ya majini[emoji23]
Uchezaji wa Simba kwenye VPL siuoni kama utang'aa kimataifa.
Hivi Kaduguda zile hela zake za chapati Simba walimlipa?Unategemea nini kutoka kwa uongozi wa mwaka 1947 wa akina KADUGUDA?
Ni kweli ubingwa mwaka huu ni ndoto.hapa kwa wazimbabwe ndio tunakwamia hapa wakija wanapaki tu basi game inaisha kwa suluhu tunatoka na ubingwa mwaka huu hatumo
Kwani limetokea nini hata tunaanza kuwanyooshea vidole wazee wetu,tukumbuke wametutoa mbali.Tuogope radhi kutoka kwa wazee.Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi.
Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango, Kagere, Mkude, Wawa, na Nyoni wako Simba pamoja na uzee wao.
Wazee kama hawa hawawezi kuchezeshwa mfululizo kila mechi kwenye viwanja vibovu dhidi ya timu zilizojaa vijana na askali wengi. Kama wazee watapata majeraha (sprain) kidogo tu kupona kwake ni shuhuli kubwa. Wazee hawa huwezi kuwategemea wacheze back to back ligi na mashindano ya champions kwa wakati mmoja.
usichangae simba ikawa mbovu sana round ya pili, la sivyo ianze sasa kuwapa nafasi vijana wacheze mara kwa mara
Kilaza wewe. Taja jina la mfungaj bora wa misimu 2 mfululzo. Hao vigori wako wap kufanya hvyo. PUNGUZA UJUHA. EBU VAA DELA LAKO DADATimu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi.
Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango, Kagere, Mkude, Wawa, na Nyoni wako Simba pamoja na uzee wao.
Wazee kama hawa hawawezi kuchezeshwa mfululizo kila mechi kwenye viwanja vibovu dhidi ya timu zilizojaa vijana na askali wengi. Kama wazee watapata majeraha (sprain) kidogo tu kupona kwake ni shuhuli kubwa. Wazee hawa huwezi kuwategemea wacheze back to back ligi na mashindano ya champions kwa wakati mmoja.
usichangae simba ikawa mbovu sana round ya pili, la sivyo ianze sasa kuwapa nafasi vijana wacheze mara kwa mara
Sio kweli, wahusika wakuu ni wachezaji, kocha, mdhamini na viongozi wa timu. Mchango wa mashabiki/watanzania / watani wa jadi unaowasema kwenye timu kushinda na kushindwa ni 0.00009℅Watanzania bila kuacha upumbavu wa usimba na uyanga....mtaendelea kuwa mbumbumbu katika mashindano ya kimataifa
Tuombe mungu bocco awepo siku hiyo pia ili kusiwe na visingizio. Kwani dawa za kuwalegeza platinum magoti yao hazipo?Mmh hii simba hii itatuua sasa,sipati picha wazimbabwe wakija tz wakipaki hilo basi na mipira ya kushtukiza kama mechi ya kwanza tumeshindwa kulifungua kwa asilimia mia moja lile lichuma, sasa wakija bongo si wataweka mawe golini ili tusiwafunge afu tutaishia kupiga pasi tu Ila, shida kubwa simba ninayoiona ni kuwa hawajui kabisa kutumia nafasi..
Angewapasua vifua wale wazeeKipimo cha wa wazee anacho Tusila Kisinda, ukitaka kumjua Mzee mpasie mpira TK kisha aanze kukimbia kuekekea usawa wa goli LA adui
Kwenu wazee huwa mnawatimua? Au unafikiri utabakia kijana hata miaka 10 tu ijayo? Una wazo lakini hujui jinsi ya kuwasilisha!Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi.
Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango, Kagere, Mkude, Wawa, na Nyoni wako Simba pamoja na uzee wao.
Wazee kama hawa hawawezi kuchezeshwa mfululizo kila mechi kwenye viwanja vibovu dhidi ya timu zilizojaa vijana na askali wengi. Kama wazee watapata majeraha (sprain) kidogo tu kupona kwake ni shuhuli kubwa. Wazee hawa huwezi kuwategemea wacheze back to back ligi na mashindano ya champions kwa wakati mmoja.
usichangae simba ikawa mbovu sana round ya pili, la sivyo ianze sasa kuwapa nafasi vijana wacheze mara kwa mara
Ndiye aliyewatoza dole ktk game ya simba vs yanga. UNAJISAHAULISHA EENH!Babu Onyango.