Wazee wa Simba wamechoka

Wazee wa Simba wamechoka

Ni ukweli usiopingika klabu bingwa Simba kutoboa msimu huu labda tutumie majini.kanji bhai aweke fungu kwaajili ya majini[emoji23]
Uchezaji wa Simba kwenye VPL siuoni kama utang'aa kimataifa.
hapa kwa wazimbabwe ndio tunakwamia hapa wakija wanapaki tu basi game inaisha kwa suluhu tunatoka na ubingwa mwaka huu hatumo
 
Ni kweli ubingwa mwaka huu ni ndoto.
Kikubwa tuombe Mungu asaidie bundi asiamke pale Msimbazi.
 
Mmh hii simba hii itatuua sasa,sipati picha wazimbabwe wakija tz wakipaki hilo basi na mipira ya kushtukiza kama mechi ya kwanza tumeshindwa kulifungua kwa asilimia mia moja lile lichuma, sasa wakija bongo si wataweka mawe golini ili tusiwafunge afu tutaishia kupiga pasi tu Ila, shida kubwa simba ninayoiona ni kuwa hawajui kabisa kutumia nafasi..
 
MIMI NI SIMBA KINDAKI NDAKI.

TUNA VIONGOZI WENGI AMBAO NI WAPUMBAVU.

Wachezaji wengi sana pale simba ni wabovu sana.

1 Wawa.
2. Morison.
3. Joash.
4. Bwalya
5. Flaga hayupo......

HAWA WACHEZAJI NI MIZIGO NDANI YA KLABU. VIONGOZI WAACHE KUSAJILI MIZOGA.
 
Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi.

Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango, Kagere, Mkude, Wawa, na Nyoni wako Simba pamoja na uzee wao.

Wazee kama hawa hawawezi kuchezeshwa mfululizo kila mechi kwenye viwanja vibovu dhidi ya timu zilizojaa vijana na askali wengi. Kama wazee watapata majeraha (sprain) kidogo tu kupona kwake ni shuhuli kubwa. Wazee hawa huwezi kuwategemea wacheze back to back ligi na mashindano ya champions kwa wakati mmoja.

usichangae simba ikawa mbovu sana round ya pili, la sivyo ianze sasa kuwapa nafasi vijana wacheze mara kwa mara
Kwani limetokea nini hata tunaanza kuwanyooshea vidole wazee wetu,tukumbuke wametutoa mbali.Tuogope radhi kutoka kwa wazee.
 
Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi.

Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango, Kagere, Mkude, Wawa, na Nyoni wako Simba pamoja na uzee wao.

Wazee kama hawa hawawezi kuchezeshwa mfululizo kila mechi kwenye viwanja vibovu dhidi ya timu zilizojaa vijana na askali wengi. Kama wazee watapata majeraha (sprain) kidogo tu kupona kwake ni shuhuli kubwa. Wazee hawa huwezi kuwategemea wacheze back to back ligi na mashindano ya champions kwa wakati mmoja.

usichangae simba ikawa mbovu sana round ya pili, la sivyo ianze sasa kuwapa nafasi vijana wacheze mara kwa mara
Kilaza wewe. Taja jina la mfungaj bora wa misimu 2 mfululzo. Hao vigori wako wap kufanya hvyo. PUNGUZA UJUHA. EBU VAA DELA LAKO DADA
 
Ni kweli kabisa, ila wanasema utuuzima dawa...

Cc: mahondaw
Wazee kwenye kijiji hawawezi kuwa wengi sana. Kwenyr kijiji cha simba wazee ni wengi, tena wanawategemea kwenye zile Kazi mungu kama kufyatua matofauli na kuchimba madini migodini.
 
Watanzania bila kuacha upumbavu wa usimba na uyanga....mtaendelea kuwa mbumbumbu katika mashindano ya kimataifa
Sio kweli, wahusika wakuu ni wachezaji, kocha, mdhamini na viongozi wa timu. Mchango wa mashabiki/watanzania / watani wa jadi unaowasema kwenye timu kushinda na kushindwa ni 0.00009℅
 
Mmh hii simba hii itatuua sasa,sipati picha wazimbabwe wakija tz wakipaki hilo basi na mipira ya kushtukiza kama mechi ya kwanza tumeshindwa kulifungua kwa asilimia mia moja lile lichuma, sasa wakija bongo si wataweka mawe golini ili tusiwafunge afu tutaishia kupiga pasi tu Ila, shida kubwa simba ninayoiona ni kuwa hawajui kabisa kutumia nafasi..
Tuombe mungu bocco awepo siku hiyo pia ili kusiwe na visingizio. Kwani dawa za kuwalegeza platinum magoti yao hazipo?
 
Jana Simba wameiona hasara ya kuwa na mabeki wazee

Yule mzimbabwe damu changa alikatisha mbele ya Onyango na Wawa kama mshare
Kama alivyofanya tusila siku ileee
 
Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi.

Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango, Kagere, Mkude, Wawa, na Nyoni wako Simba pamoja na uzee wao.

Wazee kama hawa hawawezi kuchezeshwa mfululizo kila mechi kwenye viwanja vibovu dhidi ya timu zilizojaa vijana na askali wengi. Kama wazee watapata majeraha (sprain) kidogo tu kupona kwake ni shuhuli kubwa. Wazee hawa huwezi kuwategemea wacheze back to back ligi na mashindano ya champions kwa wakati mmoja.

usichangae simba ikawa mbovu sana round ya pili, la sivyo ianze sasa kuwapa nafasi vijana wacheze mara kwa mara
Kwenu wazee huwa mnawatimua? Au unafikiri utabakia kijana hata miaka 10 tu ijayo? Una wazo lakini hujui jinsi ya kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom