Wazee wa Simba wamechoka

Wazee wa Simba wamechoka

Ndiye aliyewatoza dole ktk game ya simba vs yanga. UNAJISAHAULISHA EENH!
Wazee wanafaa kwenye mipira ya kutenga na kona basi, kama huamini muulize Mzee onyango aliona nini alipotaka kumkimbiza tusila kwenye ile mechi.
 
Kwenu wazee huwa mnawatimua? Au unafikiri utabakia kijana hata miaka 10 tu ijayo? Una wazo lakini hujui jinsi ya kuwasilisha!
Sijui nikwambiaje ili uelewe! Namna umri unavyoongezeka mwili unapoteza uwezo wake wa healing unapopata majeraha (tear and wear). Hii inasababishwa na kupungua kwa kiasi cha body metabolism, mchakato wa cell division ambao ndio unasababisha healing unakwenda chini. Hivyo majeraha na kuvunjika kwa Mzee kunapona kidogokidogo sana kuliko vijana na watoto.

VPL yetu imejaa viwanja vibovu na vijana ambao hawajapitia kwenye football academics, hivyo hawana maadili ya uwanjani ni rahisi kumrukia Mzee miguuni kama njia ya kumdhibiti asifurukute, kwakufanya hivyo anamsababishia maumivu ambayo ataishi nayo kwa muda mrefu hata akimeza diclopar.

Viwanja vyetu vibovu pia sio rafiki kwa wazeya. Akiumia hapo formula ni ileile ya kukosa mechi kuanzia tatu.

Hivyo kuwachezesha wazee back to back ni kuwamaliza huku wanajiona.

Wazee wasiwe wengi, Yanga ndiyo maana iliwapunguza akina Yondan, Ngasa, tambwe ingawa walikuwa bado na makali yao uwanjani.
 
Mahadhi ni mzee,mbona hajapona mapema?
 
Hivyo majeraha na kuvunjika kwa Mzee kunapona kidogokidogo sana kuliko vijana na watoto.
Nimekuuliza mahali haujanijibu. Juma Mahadhi na Paul Godfrey 'Boxer' ni vijana tena wamepandishwa juzi juzi kutoka timu za vijana, na wana majeraha ya msimu mzima uliopita bado hawajapona haraka. Bocco, Kagere, Mugalu, Onyango, Erasto Nyoni, wameumia wakapona, na wamerudi uwanjani huku wakiwaacha hao vijana bado hawajapona. Unalizungumziaje hili linalopingana na nadharia yako?
 
Bora wazee kuliko vijana wa kubong'oa bong'oa.
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Kiwango alichoumia mahadhi kama angeumia Mzee kama Kagere huenda angeshakufa au asingecheza mpira tena.
WEWE MTABIRI? Mtoa roho ni mmoja tu na hana mbadala! Hoja ni "majeraha" -kupona .Tupe mfano wa mzee aliyeumia hadi kafa!
 
Nimekuuliza mahali haujanijibu. Juma Mahadhi na Paul Godfrey 'Boxer' ni vijana tena wamepandishwa juzi juzi kutoka timu za vijana, na wana majeraha ya msimu mzima uliopita bado hawajapona haraka. Bocco, Kagere, Mugalu, Onyango, Erasto Nyoni, wameumia wakapona, na wamerudi uwanjani huku wakiwaacha hao vijana bado hawajapona. Unalizungumziaje hili linalopingana na nadharia yako?
Unachokiuliza kinakurudisha chini. Ninachoongea mimi hapo ni kama Onyango na boxer wote watapata bahati mbaya yakuvunjika mfupa wa mguu (tibia) na wote kupelekwa hospital moja kama Muhimbili na kupata matibu na vyakula vya aina moja basi boxer atamuacha babu yake wodini na kurudi uwanjani, na babu yake atatoka wodini baada ya miezi 2 baada ya boxer kutoka. Usichokielewa hapo ni kipi?

Hivyo uharaka wa kupona utategemea na umri wa mchezaji, kiungo alichoumia, kiwango alichoumia, ubora wa matibabu, ubora wa vyakula na afya yake kabla ya kuumia.
 
.... Ninachoongea mimi hapo ni kama Onyango na boxer wote watapata bahati mbaya yakuvunjika mfupa wa mguu (tibia) na wote kupelekwa hospital moja kama Muhimbili na kupata matibu na vyakula vya aina moja basi boxer atamuacha babu yake wodini na kurudi uwanjani, na babu yake atatoka wodini baada ya miezi 2 baada ya boxer kutoka. Usichokielewa hapo ni kipi?
Sasa kwa nini msipe Boxer vyakula hivyo arudi uwanjani? Kwa nini msimpe Mahadhi vyakula hivyo arudi uwanjani? Kwa nini msimpe Carlinhos vyakula hivyo arudi uwanjani?
 
Sasa kwa nini msipe Boxer vyakula hivyo arudi uwanjani? Kwa nini msimpe Mahadhi vyakula hivyo arudi uwanjani? Kwa nini msimpe Carlinhos vyakula hivyo arudi uwanjani?
We naona hauko duniani, mbona boxer yuko uwanjani siku nyingi? Au unaongelea frag?
 
Gor Mahia jana kala 6 toka kwa Waalgeria,hawa wazee wakifanikiwa kupita Wiki itawahusu
 
Unazkumbuka lkn zle 4-1 eeenh hta mwaka haujaisha
Wachezaji waliofungwa 4-1 ni akina Morrison, Kelvin na wengine ambao 80% yao hawapo klabuni leo hii, lete derby ya kariakoo leo kama hayo maneno yako utaendelea nayo. Simba imekata punzi, na dawa ziko mbili tu
1. Kufukuza wazee
2. Kubadili kocha
 
Back
Top Bottom