Wazee wa statistics and comparison mbona mpaka Sasa hamjamfananisha Yao na Shomari Kapombe?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kumekua na kasumba ya kulinganisha wachezaji na mahesabu kihasibu kupigwa namna gani mchezaji anaitia hasara timu.

Lakini Cha kushangaza toka atue Yao (jeshi) beki kitasa, beki serious beki mwenye uwezo mkubwa katika ligi ya Nbcpl wazee wa statistics na comparison wapo kimya hawataki hata kusikia Mambo ya kikosi Cha Yanga sc.

Hii siyo kawaida kabisa nilitegemea kuona comparison ya Yao na Beki Bora namba mbili Shomari kapombe kutoka lunyasi.

Muhasibu OKW BOBAN SUNZU na wengineo kutoka ukolokoloni karibuni sana.
 
Walipokutana kwenye ngao ya Jamii matokeo yalikuwaje? Tuanzie hapo
 
Anzisha wewe mkuu. Kwani kunashida wapi? hakuna mgawanyo wa hiki lazima aanzishe fulani na fulani
 

Show me anawahenyesha. Akitoka Yao watamleta nani, watuambie kabisa.
 
Huwezi kulinganisha Yao na vitu vya kijinga.
 
Mbona mayele na Kibu hujataja
 
[emoji2772]
 
Mimi sioni tofauti kubwa kati yao japo inaonekana Yao kamzidi Kapombe kidogo. Ila kitendo cha Shomari kutumika mfululizo kitaifa na kimataifa kwa zaidi ya miaka 6 bila kupumzika ndio kinapelekea sasa Shomari kuanza kupungua uwezo. Na Simba wakiendelea kumchezesha mpaka mechi za kirafiki na Dar city na mabonanza kama Mapinduzi Cup basi hana misimu miwili mbele.

Shomari naye ashtuke basi akiona mechi za hovyo hovyo asingizie kuumwa ghafla ili Robertino apange mchezaji mwingine. Vinginevyo baada ya misimu miwili ataitwa veterani wakati bado anaweza cheza kwa kiwango kikubwa tu hata misimu minne mbele hata kwenye timu nyingine kwenye ligi kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…