NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kumekua na kasumba ya kulinganisha wachezaji na mahesabu kihasibu kupigwa namna gani mchezaji anaitia hasara timu.
Lakini Cha kushangaza toka atue Yao (jeshi) beki kitasa, beki serious beki mwenye uwezo mkubwa katika ligi ya Nbcpl wazee wa statistics na comparison wapo kimya hawataki hata kusikia Mambo ya kikosi Cha Yanga sc.
Hii siyo kawaida kabisa nilitegemea kuona comparison ya Yao na Beki Bora namba mbili Shomari kapombe kutoka lunyasi.
Muhasibu OKW BOBAN SUNZU na wengineo kutoka ukolokoloni karibuni sana.