All in one ni laptop tu zilizochangamka na nyingi zipo under speced.Nataka nianze work from home.
Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo. View attachment 3265082
Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto?
View attachment 3265083
Kama aliewahi kutumia matumizi mbalimbali anao mrejesho.