Elections 2010 Wazee wa Tume ya Uchaguzi

Elections 2010 Wazee wa Tume ya Uchaguzi

kachumbari

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
126
Reaction score
9
Hivi hawa wazee wa tume ya uchaguzi wanajua hata kutumia computer?:thinking:
 
Kwani hata Makamba anajua nini? Hivi kwa nini alifukuzwa ualimu wa shule ya msingi?
 
Sasa wana hakiki vipi kura zinavyoingizwa kwenye computer?
 
Hawajui hata computer ni nini huwaoni wakisoma matokeo kama wanasinzia..
 
Back
Top Bottom