CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Habari wakuu.
Nimeamua kumaliza UJANA wangu kwa kufanya starehe/kula Bata ndani ya Mwaka Huu mmoja 2022.
Kuna uwezekano mkubwa sana nikapata mwenza wa Maisha Mke Mwaka 2023/24.
Mipango ya Mungu ikitimia.
Swali
Naulizia sehemu nzuri ya kula bata? Napenda nimalizie kula mziki. Maua mengi, ila sipendi kabisa wanawake wa baa. Sinywi pombe. Napenda sana mziki, lakini wa baa siyo wa club.
Ni maeneo gani mazuri kwa mziki nyomi Sinza na Tabata ukitoa Kitambaa Cheupe?
Naomba kuwasilisha.