Wazee wa viporo vp leo kiporo cha kagera

Hawa wazee wa viporo wakijitahidi sana leo wataambulia sare tu ila dalili ya ushindi haipo kabisa. Wangekuwa ni ndugu zao wa Coastal Union wangejitahidi hata kuwapa ushindi wa mezani.
 
Wachezaji walikuwa low charge sana hasa kipindi cha kwanza. Na huyu beki Coulibaly ni njia nyeupe kurudi nyuma shida. Tuone mechi inayofuata. Kagere leo badili ya kufunika jicho moja leo kaishia kushika kichwa tena mikono miwili. Mkude kacheza chini ya kiwango pamoja na Kotei ndio chanzo moja wapo ya kupoteza mchezo. Wakicheza namna hii kuna dalili ya mechi moja au mbili kufungwa kabla ya kurudi Dar.
 
Kuna ka msemo kengine katapotea sasa hivi = ' kiporo cha tajiri hakichachi'
 
Huu uzi una muda mrefu lakini comments chache. Tunakwama wapi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Viporo vingine havifai, vina bacteria hatari, sasa wanakiendea kiporo cha ugali was muogo huko Mara, sijui kama watakiweza hawa wapenda kiporo cha wali.
Huu uzi una muda mrefu lakini comments chache. Tunakwama wapi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kishatiwa ndimu kitambo tunasubili Pepsi big kishushwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…