Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tangu lini Miwa ikawa Kiporo? Au ulishawi kuona kipora Cha Miwa?Kuna ka msemo kengine katapotea sasa hivi = ' kiporo cha tajiri hakichachi'
Ha ha ha ! Kwani kiporo ni nini kwa kiswahili swafi?We tangu lini Miwa ikawa Kiporo? Au ulishawi kuona kipora Cha Miwa?
Yanga mnashida sana
Huu uzi una muda mrefu lakini comments chache. Tunakwama wapi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalo neno.Marefa wameshituka kuachwa AFCON 2019..
kiporo kinaliwa na maziwa icho washa tuzoeaa hawa watotoLeo kiporo kinaelekea kuchacha hatari fire