Menu za home mbona rahisi sana,katakata kachumbali na ugali kula.
Tatizo tumezoea kuwafanya wengine watumwa wa kila kitu (kupika,kuosha vyombo,kufua,sokoni,kudeki,kufagia uwanja na kibaya zaidi kufanzisha ngono zembe).
Mwisho wa siku kijana teja,binti wa kazi kufukuzwa na mwenye mji kisa mimba/aibu kibaya zaidi ongezeko la watoto wa mtaani.
Chanzo ni malezi mabaya kuanzia wazazi/walezi,watoto na kuishi kwa mazoea.