Wazee wa vitengo sogeeni hapa tukutane, hichi sio kisa bali ni mkasa

Wazee wa vitengo sogeeni hapa tukutane, hichi sio kisa bali ni mkasa

usifikr kula om ndo kukosa pesa uijui aina ya familia nnayotea dats y u said dat hahah[emoji28][emoji28] ila wory out ushauri wako wameupokea walio ktk iyo stuation ya kukosa ata jero ya kula
Rudi shule ujifunze kuandika kwanza bwege wewe
 
Lakini lile gem lilikua na chembe flani za figisu ndo maana jamaa akaomba gemu irudiwe hata kwa kutumia gharama zake binafsi
Kwa Lenox angetaga tena,ndio maana halikurudiwa. Tyson alikula vitasa sana mle ndani kimyakimya.
Waliiingiza siasa
 
Menu za home mbona rahisi sana,katakata kachumbali na ugali kula.
Tatizo tumezoea kuwafanya wengine watumwa wa kila kitu (kupika,kuosha vyombo,kufua,sokoni,kudeki,kufagia uwanja na kibaya zaidi kufanzisha ngono zembe).
Mwisho wa siku kijana teja,binti wa kazi kufukuzwa na mwenye mji kisa mimba/aibu kibaya zaidi ongezeko la watoto wa mtaani.
Chanzo ni malezi mabaya kuanzia wazazi/walezi,watoto na kuishi kwa mazoea.
 
Back
Top Bottom