Hapa bia c itakuwa buku za lumumba
Teh teh mkuu kwanini unamkimbia Windhoek?Hapa natest Serengeti light, katika mkakati wa kumtafuta mbadala wa Windhoek
Serengeti lite utaacha zaidi maana ni tamu na hazileweshiMkuu Windhoek kila nikikaa kauta naacha si chini ya misimbazi 3
Wanauza bei gani kila moja mkuu?Hizi bia tamu sana ila ukitaka zianze kuingia kichwani uwe na atleast si chini ya misimbazi 3View attachment 766455
Hizi mambo zinaunguza utumbo kuwa makini chief
Hivi yule dada wa counter mrefu hivi mweupe ana msambwanda wa hatari bado yupo?Wazee breakpoint posta pachafu atari mi nimehamia Ramada encore 13 rd floor beer on rooftop
Kungekuwepo na mchungaji (hawa wa siku hizi) angesema una pepo angeanza kukemea kumbe nguvu ya tungi!Hahaaaaa Mkurugenzi mkuu umenichekesha sana.Kuna mdada nilishuhudia akivua nguo zote mbele ya wazazi na ndugu kama ana mashetani vile, baada ya Masanga kumzidia tena ilikua kwenye sherehe aisee aibuu.
Uko vizuri mkuu...Mimi zamani nilikuwaga nagonga tusker baadae nikaona wamechakachua siku hizi ni mwendo wa Castle lite na nyama choma ya yule mdudu pendwa!Kiukweli mi sina pombe maalum ,yoyote inayonipitia mbele yangu Siku hiyo naipiga na asubuhi nakua poa
Nimecheka sana mpaka traffic aliyenisimamisha kukagua kagari kangu anafikiri namcheka yeye.!!!!Dah!? Enzi zangu napiga biere ilikuwa mwake, toka vyuma kukaza nimehamia za kienyeji yaani huku hatuna gharama buku tatu kwisha habari yangu, sema nakuwa mvivu kuoga, na kufua, tukishawaka kwa raha zetu, sema nini Misosi yetu huku ndo haina kiwango lkn vishavu na kitambi fulani kwa mbaali vinanitoka, Papuchi wala hatukumbukagi zikishuka sana Porini tunamalizaga mama Muuza anajua, kesho hatukumbukagi ya Jana, kila siku ni Mpya aaa, Pombe za gharama ni Burudani na Banana nazo ni chini ya bukuu tu. Tuna keep lt Local na Konyagi Mwitu.
Hivi yule dada wa counter mrefu hivi mweupe ana msambwanda wa hatari bado yupo?
Alichonifanyia huyo mdada ndicho kilifanya nisirudi tena kunywa pande hizo.
KapichaBaba ule mzigo haupo ila kuna pisi moja hivi ipo vizuri ina chura kiainaa
Bado yupo mkuu....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] alikufanyia nini hebu fungukaHivi yule dada wa counter mrefu hivi mweupe ana msambwanda wa hatari bado yupo?
Alichonifanyia huyo mdada ndicho kilifanya nisirudi tena kunywa pande hizo.
We nilipita pale last week nimeukuta.Baba ule mzigo haupo ila kuna pisi moja hivi ipo vizuri ina chura kiainaa