Wazee wa Vyombo aka Masanga aka Bwaksi

Wazee wa Vyombo aka Masanga aka Bwaksi

0f11e1fb-c746-4543-a88e-c04ba2278760.jpg
Naaaam
 
Do you waaaaaaant beeeeer YEEEEES
DO YOUUUU waaaant beeeer yesss
Coz beer make lovee everybooody
Beeer i love you make some love.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji482][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482]
 
Wazee breakpoint posta pachafu atari mi nimehamia Ramada encore 13 rd floor beer on rooftop
Hivi yule dada wa counter mrefu hivi mweupe ana msambwanda wa hatari bado yupo?
Alichonifanyia huyo mdada ndicho kilifanya nisirudi tena kunywa pande hizo.
 
Hahaaaaa Mkurugenzi mkuu umenichekesha sana.Kuna mdada nilishuhudia akivua nguo zote mbele ya wazazi na ndugu kama ana mashetani vile, baada ya Masanga kumzidia tena ilikua kwenye sherehe aisee aibuu.
Kungekuwepo na mchungaji (hawa wa siku hizi) angesema una pepo angeanza kukemea kumbe nguvu ya tungi!
 
Hivi yule dada wa counter mrefu hivi mweupe ana msambwanda wa hatari bado yupo?
Alichonifanyia huyo mdada ndicho kilifanya nisirudi tena kunywa pande hizo.

Picha yake Basi mkuu hata kwa nyuma tu
 
Kiukweli mi sina pombe maalum ,yoyote inayonipitia mbele yangu Siku hiyo naipiga na asubuhi nakua poa
Uko vizuri mkuu...Mimi zamani nilikuwaga nagonga tusker baadae nikaona wamechakachua siku hizi ni mwendo wa Castle lite na nyama choma ya yule mdudu pendwa!
 
Dah!? Enzi zangu napiga biere ilikuwa mwake, toka vyuma kukaza nimehamia za kienyeji yaani huku hatuna gharama buku tatu kwisha habari yangu, sema nakuwa mvivu kuoga, na kufua, tukishawaka kwa raha zetu, sema nini Misosi yetu huku ndo haina kiwango lkn vishavu na kitambi fulani kwa mbaali vinanitoka, Papuchi wala hatukumbukagi zikishuka sana Porini tunamalizaga mama Muuza anajua, kesho hatukumbukagi ya Jana, kila siku ni Mpya aaa, Pombe za gharama ni Burudani na Banana nazo ni chini ya bukuu tu. Tuna keep lt Local na Konyagi Mwitu.
Nimecheka sana mpaka traffic aliyenisimamisha kukagua kagari kangu anafikiri namcheka yeye.!!!!
 
Hivi yule dada wa counter mrefu hivi mweupe ana msambwanda wa hatari bado yupo?
Alichonifanyia huyo mdada ndicho kilifanya nisirudi tena kunywa pande hizo.

Baba ule mzigo haupo ila kuna pisi moja hivi ipo vizuri ina chura kiainaa
 
Hivi yule dada wa counter mrefu hivi mweupe ana msambwanda wa hatari bado yupo?
Alichonifanyia huyo mdada ndicho kilifanya nisirudi tena kunywa pande hizo.
Bado yupo mkuu....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] alikufanyia nini hebu funguka
 
Back
Top Bottom