Wazee wa Vyombo aka Masanga aka Bwaksi

Wazee wa Vyombo aka Masanga aka Bwaksi

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Wasalaamu kwenu wazee wa vyomboz,

Uzi huu ni maalumu kwetu tupeane ma experience ya utamu, kero za masanga aka vyombo.

Beeers zimeshuka bei ila zina hangovers za hatarii ahsubuhi , kichwa kinagonga utadhani wanapaua bati la msauzi gauge 28, khaa!!
Najua mtasema sijui unywe maji au usinywe zaidi ya saa sita lakini wapi.

Windhoek tamu sana ila ndogo na bei ipo juu kichizi kwa usawa huu full mawazo pesa inakata hatarii.

Wazee wakulaza Bapa naona wao full ku enjoy tu.

Shot za tekila nazo zina hangovers ya hatarii.

Vipi wale wa pombe kushuka chini, ukishalewa tu kama kuna demu pembeni yako lazima uombe papuchi, kwa dada zetu wale zinazoshuka chini kila dakika nisindikize toilet, akifika huko full kukaa uchi, daahh [emoji39][emoji39]

Vp mgegedo wa ahsubuhi ukiwa na hangovers nasikia ni bonge la tiba.

Wapo wale wa kugonga magari ya watu na kukimbia na kuishia kuingiza magari mitaroni.

Daah mimi spirit zishanishinda memories zinakata ahsubuhi sikumbuki ya jana na kumbuka kwa mbaaaaalliiii [emoji23][emoji23][emoji23]

Bila kusahau wale wazee wa kumwaga radhi mziki ukipigwa tu hata kama wimbo mbaya, ye mauno feni.
Wadada wao wanashika chini misanbwanda inazungushwa hatariii [emoji51][emoji51][emoji51]

Lete ujuzi wako na kero za Bwaksi kwa upande wako, ha ha ha haaa karibuni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi bia tamu sana ila ukitaka zianze kuingia kichwani uwe na atleast si chini ya misimbazi 3
IMAG0007.jpg
 
tatizo langu kubwa siku hizi nikinywa silewi..iwe pombebiwe spirit.
 
images(5).jpg
ona kuashilia hivi vitu ni vizuri waiter kajawa na furaha, anatabasam tu, sisi watu wakuzurula zurula hizo ndio zetu maana maeneo mengine ukienda henken, windo hawajui kabisa kuwa ni bia zaidi ya hizo tunaziita chama la wana
 
Back
Top Bottom