Wazee wa yanga wakataa kuingiza team uwanjani tarehe 3 july vs simba

SImba wasikae kimya inaonekana utopolo wanafanya makusudi kuwanyima mapato Simba sababu mechi ya kwanza utopolo alikuwa mwenyeji na mapato yote akachukua lakini kwa sababu mechi hii utopolo hapati kitu anaanza kuleta mind game za kipumbavu.
Mzigo uko kwenye account tangia trh 8
 
Kama nilivyotanabaisha hapo juu mmechangia kihisia zaidi na ni ukweli usiofichika wengi wenu vilaza! Case closed
 
Kama nilivyotanabaisha hapo juu mmechangia kihisia zaidi na ni ukweli usiofichika wengi wenu vilaza! Case closed
Kapambane kwanza na wazee wako wa jangwani wamegoma mabadiliko[emoji23][emoji23] ukiwaweza wale basi kidogo utaingia kwenye kundi la watu wenye akili ya kawaida (average)
 
Mkuu nimesoma post yako mpaka nimejisahahu nikadhani ni uzi ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…