Utopolo unamuwaza mumeo SimbaUshasema wazee! Hao ndio wanauchungu na Yanga..,sema MAKOLO mnawashwa na mambo ya Yanga!
Kweli mtani.Ila hizi mambo ni za kupita Mtani.
Soon mambo yanakaa sawa tunaendelea na mengine na hutakaa usikie tena hizi kauli tena pia usije shangaa wakasema tuliongea tukiwa na hasira ila hatukumaanisha. π π
Kwa kweeli. π πUsije kuta Fei anatimkia Msimbazi.
Tusubiri tuone. Ila yote mpira ni ajira. Ushabiki pembeni kwa wachezaji. Watashabikia timu zao wakishastaafu
KOLO jingine hili linawashwa..,nadhani unalijua lile dudu washawasha, utapak..twa acha kushobokea wanaume.Utopolo unamuwaza mumeo Simba
Kwaiyo unamaanisha hawa ni wahuni wa zamani!.Hata wahuni wanazeeka pia.
Hao ukiwapa noti moja ya 10,000 ,watadai uwape 5000 mbili, kama huwezi baki na hiyo 10,000 yako ya noti.