Wazee wa Yanga wanavunja mkataba wa bil. 41 kisa mchezaji wa mil. 700

Wazee wa Yanga wanavunja mkataba wa bil. 41 kisa mchezaji wa mil. 700

Ila hizi mambo ni za kupita Mtani.

Soon mambo yanakaa sawa tunaendelea na mengine na hutakaa usikie tena hizi kauli tena pia usije shangaa wakasema tuliongea tukiwa na hasira ila hatukumaanisha. 😅😅
Kweli mtani.

Haya mambo ni ya kupita tu. Ukikutana nayo yanakuondolea stress maisha yanasonga. 🤣
 
Usije kuta Fei anatimkia Msimbazi.

Tusubiri tuone. Ila yote mpira ni ajira. Ushabiki pembeni kwa wachezaji. Watashabikia timu zao wakishastaafu
 
Usije kuta Fei anatimkia Msimbazi.

Tusubiri tuone. Ila yote mpira ni ajira. Ushabiki pembeni kwa wachezaji. Watashabikia timu zao wakishastaafu
Kwa kweeli. 😅😅
 
Natamani wasusie noti ya 10,000 aka Msimbazi. Noti yao ya mwisho iwe 5,000.

Shadeeya hahahahah
Hao ukiwapa noti moja ya 10,000 ,watadai uwape 5000 mbili, kama huwezi baki na hiyo 10,000 yako ya noti.
 
Back
Top Bottom