Wazee wa zamani mlijua kutunyoosha

Wazee wa zamani mlijua kutunyoosha

Mara akufungie fundo hata kabla hujaomba msamaha akate kamba [emoji88]
Yah wapo watu waliofanyiwa hivyo ndio hao unao waona familia zao zimejaa watu wa ajabu ajabu...mapombe na mikosi haiwaishi kumbe bibi Yao au babu Yao alimlaani mama Yao..Kwa kumloga🤣🤣🤣 fundo halijafunguliwa
 
Yalikuwa makatili sana mazafaka.Mi kwa ninavyompenda mwanangu hata kuwaza tu sifikiri na sitafanya hata iweje.
Bahati mbaya ni kuwa Bado kizazi chao hao wazee wa busara Bado hakijaisha japo ndio kina malizikia malizikia ..🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Hiki kizazi Cha Maaam Daaad na it's okay kimekosa vingi mno.
Unapigwa Fundo 12 mwaka mzima wenge tu na ukute kasema liende miaka 30+.
UMEKWISHA.
Kweli wapo walio bebeshwa Dunia Hadi Leo Bado wanahangaika nayo...so sad 😭😭😭
 
Mazafaka yaani wanafurahia watoto wao kuhangaika .Yalikua na akili kama maminyama tu ,akili za kishetani shetani tu.Watu wahangaike wao wapate furaha shit.
Ilikuwa ni kama adhabu Yani ukienda TU tofauti na yeye anavyotaka ndio anakufanyia jambo ambalo lazima Dunia uibebe na kuhangaika nayo😭😭😭... Huyo sitaki umuoe...ukang'ania kumuoa utajuta kuingia ndoani...ndoa itakua na mauza uza Hadi akili itakukaa sawa...walivyokuwa wajanja wanakutumia mjumbe aje akukumbushe... "Hivi ujamkosea mama Yako kweli...? " "Nenda kamuombe msamaha" 🤣🤣🤣🤣
 
Uchawi haendi kwa mentali.....nafsi yako ikiwa safi na una amani moyoni na jambo ulilofanya una imani ni sahihi huo ulozi hauwezi kukufika!
 
Back
Top Bottom