X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #21
Yah wapo watu waliofanyiwa hivyo ndio hao unao waona familia zao zimejaa watu wa ajabu ajabu...mapombe na mikosi haiwaishi kumbe bibi Yao au babu Yao alimlaani mama Yao..Kwa kumloga🤣🤣🤣 fundo halijafunguliwaMara akufungie fundo hata kabla hujaomba msamaha akate kamba [emoji88]
Wachawi waliokuwa wanafuatwa na wazee wazamani wengi wao wameshakufa na uchawi wao awajawalisisha watu wengine😀😀 and what about the parents of now
😁😁thats so funny manWachawi waliokuwa wanafuatwa na wazee wazamani wengi wao wameshakufa na uchawi wao awajawalisisha watu wengine
Bahati mbaya ni kuwa Bado kizazi chao hao wazee wa busara Bado hakijaisha japo ndio kina malizikia malizikia ..🤣🤣🤣Yalikuwa makatili sana mazafaka.Mi kwa ninavyompenda mwanangu hata kuwaza tu sifikiri na sitafanya hata iweje.
Wazazi wa siku hizi ata kumchapa mtoto TU anaogopa... Zama za Leo mtoto ndie anae mLoga mzazi🤣🤣🤣😀😀 and what about the parents of now
Ni kamzozo basi😄😄😄Bahati mbaya ni kuwa Bado kizazi chao hao wazee wa busara Bado hakijaisha japo ndio kina malizikia malizikia ..🤣🤣🤣
Utasikia kama sijakuzaa wewe utaona...🤣🤣🤣Ndo utajua hujuii
Ila hao wazee hawakuwa wakifanya poa. Kuna adhabu nyingine hupaswi kumpa mtoto.
Kweli wapo walio bebeshwa Dunia Hadi Leo Bado wanahangaika nayo...so sad 😭😭😭Hiki kizazi Cha Maaam Daaad na it's okay kimekosa vingi mno.
Unapigwa Fundo 12 mwaka mzima wenge tu na ukute kasema liende miaka 30+.
UMEKWISHA.
Ilikuwa ni kama adhabu Yani ukienda TU tofauti na yeye anavyotaka ndio anakufanyia jambo ambalo lazima Dunia uibebe na kuhangaika nayo😭😭😭... Huyo sitaki umuoe...ukang'ania kumuoa utajuta kuingia ndoani...ndoa itakua na mauza uza Hadi akili itakukaa sawa...walivyokuwa wajanja wanakutumia mjumbe aje akukumbushe... "Hivi ujamkosea mama Yako kweli...? " "Nenda kamuombe msamaha" 🤣🤣🤣🤣Mazafaka yaani wanafurahia watoto wao kuhangaika .Yalikua na akili kama maminyama tu ,akili za kishetani shetani tu.Watu wahangaike wao wapate furaha shit.
Sijapata Bado...nipe connection hiyo nduguUmeshapata kazi za malori? Kuna kazi Nepal $15 Kwa siku
😄the world has changed a lotWazazi wa siku hizi ata kumchapa mtoto TU anaogopa... Zama za Leo mtoto ndie anae mLoga mzazi🤣🤣🤣
Ogopa Sana maneno poti.Kweli wapo walio bebeshwa Dunia Hadi Leo Bado wanahangaika nayo...so sad 😭😭😭
Hayakuwa maneno matupu. Yalikuwa maneno yaliyokuwa yanasindikiziwa na ULOZI...a.k.a uchawi🤣🤣🤣Ogopa Sana maneno poti.
Uchawi bila maneno haukamiliki iwe ya kutamka au kuandika.Hayakuwa maneno matupu. Yalikuwa maneno yaliyokuwa yanasindikiziwa na ULOZI...a.k.a uchawi🤣🤣🤣
KweliUchawi haendi kwa mentali.....nafsi yako ikiwa safi na una amani moyoni na jambo ulilofanya una imani ni sahihi huo ulozi hauwezi kukufika!