Wazee wa zamani walivyotumia viungo vya mnyama kutabiri yajayo

Wazee wa zamani walivyotumia viungo vya mnyama kutabiri yajayo

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Sijui kama umewahi kuexperience jambo kama hili,

Wazee wa zamani waliweza kutumia viungo vya ndani vya mnyama kupredict yajayo ama jambo lolote BAYA lijalo.

Mnyama kama mbuzi angechinjwa na wajuzi wangetumia viungo vyake vya ndani kufanya utabiri wa mambo yajayo, sijui kama wewe umewahi kukutwa na ishu kama hii .ila Kwa Sasa nimeachana na ushirikina jamani.
 
Back
Top Bottom