Wazee waku swipe pembeni

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
266
Haha ivi ni kwa nini wabongo wengi wakipewa simu ya mtu waangalie picha wana swipe next utazani wameruusiwa. Doh inaboa sana.
 
Mkuu hilo ndio tatizo kubwa la wabongo,

Umbea tu unawasumbua
 
😂😂hata mimi huwa sielewi.
. Anaanza kuangalia picha nyingine zisizo muhusu. Tena bila haya mtu anaanza na kuhoji. Huyu ndio shemeji??
 
😂😂hata mimi huwa sielewi.
. Anaanza kuangalia picha nyingine zisizo muhusu. Tena bila haya mtu anaanza na kuhoji. Huyu ndio shemeji??
Haha kwa kweli nikazan n mm alon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…