Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Mwalimu...
Katika mswada wa kitabu cha kumbukumbu za Kleist Sykes alioandika kabla ya kifo chake mwaka wa 1949 Kleist anasema viongozi wa kanisa wakiwaonya waumini wao kutojihusisha na siasa.
Mswada huu ni sura katika kitabu alichohariri John Illife, "Modern Tanzanians," (1973).
Wakristo ‘kavu’ toka siku nyingi sana hadi leo akina Askofu Pengo wanalamba miguubya watawala!
Toka Pemba njoo Lindi au Mtwara waislam wameweza kuhusisha umaskini wao na CCM lkn hawa ‘wagalatia’ bado hawawezi
Tufanyeje?