NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Mimi hapo nimemuona Mzee Rupia tu ambae yupo kushoto kwa Nyerere weengine wote ukiondoa Nyerere siwajuiKuna siku moja alikutana na Nyerere pale Fire akiwa ametoka sokoni akampa mboga na shillingi 200.Wakati ule shillingi 200 unaweza kujenga nyumba ya udongo ya vyumba vitano pale Kariakoo
Mohamed Said kutoka Maktaba tafadhari..Hapo kuna kafiri hata mmoja kwel wajuz mambo?
Wamimsaidia vipi?Kama kichwa cha habari kilivo hapo mnaweza kumtambua nani na nani mimi nimemtambua Nyerere na Mzee Mshumi Kyate.
Huyu mzee Kyate alikuwa mvuvi ndio alikuwa ana jukumu la kulisha familia ya Nyerere mboga kipindi alivyoamua kuacha kazi shule ya Pugu.
Kuna siku moja alikutana na Nyerere pale Fire akiwa ametoka sokoni akampa mboga na shillingi 200.Wakati ule shillingi 200 unaweza kujenga nyumba ya udongo ya vyumba vitano pale Kariakoo
View attachment 3526680
Hahahahaha!! Una ghazabu sana na Makafiri wa Jf sijui wamekukosea nini mkuu ..Hapo kuna kafiri hata mmoja kwel wajuz mambo?
Waganga tupu ....Hapo kuna kafiri hata mmoja kwel wajuz mambo?
Asilimia kubwa ya unaowaona hapo ni makafiri na Wana ilim ahera peke yake!Hapo kuna kafiri hata mmoja kwel wajuz mambo?