Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi vijana wamenionya nisigombee ubunge kwani maisha yangu yatakuwa hatarini!
Masihara pembeni, na mimi wazee wamenishauri nigombee ubunge!
(Jamani hakuna hata mtu mmoja anayesema 'nimeamua mwenyewe kugombea' kuwa Mbunge?)
Lakini mpaka tunaenda mitamboni, sitagombea ubunge mwaka huu!
Mlenge
We uoni watu wanavyopoteza maisha kule bungeni?Amina,Wangwe,Kabuye,MD wa Business Times n.kUnaogopa Kulogwa ? kufa ? au nn kinakutisha ?
We uoni watu wanavyopoteza maisha kule bungeni?Amina,Wangwe,Kabuye,MD wa Business Times n.k
We uoni watu wanavyopoteza maisha kule bungeni?Amina,Wangwe,Kabuye,MD wa Business Times n.k
Mlenge,Masihara pembeni, na mimi wazee wamenishauri nigombee ubunge!
(Jamani hakuna hata mtu mmoja anayesema 'nimeamua mwenyewe kugombea' kuwa Mbunge?)
Lakini mpaka tunaenda mitamboni, sitagombea ubunge mwaka huu!
Mlenge
Masihara pembeni, na mimi wazee wamenishauri nigombee ubunge!
(Jamani hakuna hata mtu mmoja anayesema 'nimeamua mwenyewe kugombea' kuwa Mbunge?)
Lakini mpaka tunaenda mitamboni, sitagombea ubunge mwaka huu!
Mlenge
ili uwe karibu zaidi na wanachi na kama una nia ya dhati na uzalendo wa kweli anza na UDIWANI. uskimbilie UBUNGE
teh teh teh patamu hapo !!!!!!
Kumbe ni kuachiana na wewe mwaka 2020 utamwachia naniMimi nilitaka kugombea mwaka huu, mzee Mh. Mbunge anayeshikilia jimbo ameniambia nisubiri kidogo, ataniachia mwaka 2015 !!