Wazee wameniomba nigombee!

Wazee wameniomba nigombee!

Mimi nilitaka kugombea mwaka huu, mzee Mh. Mbunge anayeshikilia jimbo ameniambia nisubiri kidogo, ataniachia mwaka 2015 !!

Ameshakutoa?....sku hizi ukiwa na influence ya kutosha jimboni unatangaza kugombea, mwenye jimbo atakufuata tu.
 
Back
Top Bottom