Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nchi nyingi Duniani zimeingia kwenye machafuko kutokana na wazee kukosa uzalendo na kuendekeza tamaa.
Wazee wengi wenye miaka zaidi ya 50 wamekuwa mstari wa mbele kukandamiza haki huku wakitumia dola kuendelea kujinufaisha.
Wazee wanapokosa maono mbele upelekea wao kuamini kwamba hakuna mwenye uwezo kuliko wao na kila wanaloamua kwa manufaa yao linapaswa kutekelezwa.
Wazee wenye madaraka uamini vijana ndio tishio kwao na mara nyingi utoa maelekezo yakuwapoteza wasiendelee kuyaishi maono waliyonayo.
Lakini pia wazee nao walikuwa vijana na walinyanyaswa walipokuwa vijana hivyo ujikita zaidi kulipiza ukatili kwa vijana.
Ni maoni yangu kwa vijana kwamba wasipotambua haki zao wanaweza wakamika kama bomu la maangamizi na wataangamia wao huku wazee wakiendelea kulindwa na kutembelea mashangingi.
Njia sahihi yakufanya ni vijana kuwaondoa wazee kwenye maamuzi na wao kujitokeza kushika nafasi za uongozi.