WAZEE WANGU

WAZEE WANGU

Street brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
584
Reaction score
767
Jambo letu tena!

Jitahidi kujitambua kwa yale unayoyaweza na yale yanayokupatia ugumu lakini kamwe usiwaeleze watu mapungufu yako kwasababu watayatumia dhidi yako. Mara nyingi watu huwaangusha wengine kwa kutumia mapungufu yao. Jitambue na tumia utambuzi huo kujishinda ili mapungufuyako yasikutawale. Nikutakie 'siku njema.
 
Back
Top Bottom