Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
IBARA YA 58.
Wazee ni hazina ya taifa letu.
Katiba Inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii.
Ndani ya Katiba Inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika shughuli za kimaendeleo na kijamii, kupata huduma mbalimbali na kulindwa dhidi ya vitendo vya ukatili.
Kupitia Katiba Inayopendekezwa kutawekwa miundombinu na mazingira bora yatakayowawezesha kwenda wanakotaka na kutumia vyombo vya usafiri wa umma kwa gharama nafuu.
TUISOME NA KUIELEWA VEMA.
View attachment 235736
Nape alishasema wazee wasubiri kufa..hakuna haja ya kuwekwa kwenye katiba wanajaza kurasa tu
Wazee wenyewe wanasinzia tu hapa wapewe fursa gani? Hebu acheni utani bwana..hawa si ndio vidole vinakataa kusoma kwenye bvr!
Nape alishasema wazee wasubiri kufa..hakuna haja ya kuwekwa kwenye katiba wanajaza kurasa tu
mleta mada wewe ni punguani kama siyo tahaira. kuna mama mmoja mzee wa 80 yrs ni katibu mtendaji wa sawata kasulu. nilibahatika kuongea nae mwez dec. alilahumu sana kile serkali inachofanya Kwa waze
e wa taifa ili. huyu alikuwa kati ya wazee 20 kitaifa walioonana na spika ata wabunge.wazee walitoa majina ya kuwawakilisha bunge la katiba. kati ya majina pendekezwa hakuna mzee aliyependekezwa. ili kufuta uharo huu mtafute huyu mama anaitwa kokupima isdory ni katibu mstaafu wa ccm wilaya
ibara ya 58. wazee ni hazina ya taifa letu. Katiba inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii. ndani ya katiba inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika shughuli za kimaendeleo na kijamii, kupata huduma mbalimbali na kulindwa dhidi ya vitendo vya ukatili. kupitia katiba inayopendekezwa kutawekwa miundombinu na mazingira bora yatakayowawezesha kwenda wanakotaka na kutumia vyombo vya usafiri wa umma kwa gharama nafuu. tuisome na kuielewa vema.View attachment 235736
mleta mada wewe ni punguani kama siyo tahaira. kuna mama mmoja mzee wa 80 yrs ni katibu mtendaji wa sawata kasulu. nilibahatika kuongea nae mwez dec. alilahumu sana kile serkali inachofanya Kwa waze
e wa taifa ili. huyu alikuwa kati ya wazee 20 kitaifa walioonana na spika ata wabunge.wazee walitoa majina ya kuwawakilisha bunge la katiba. kati ya majina pendekezwa hakuna mzee aliyependekezwa. ili kufuta uharo huu mtafute huyu mama anaitwa kokupima isdory ni katibu mstaafu wa ccm wilaya
claudia huwezi kuwa titye au bogwe kama ulivyotaja ukawa kwenye kamati za kitaifa kutetea wazee?kwa kuea niliweka no ya simu kwanin usipige ili ukajiridhisha. ibara ya 58 nimeisoma hakuns lolote. ni sawa na wazee watapata hudums bure kumbe hospital hakuna dawa.kama wewe ni msomi badi ni wale tu wasomi uchwara walioptisha katiba uchwara au kama umesoma utakuwa mlugo generation