Wazee watambuliwa katika katiba inayopendekezwa:

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
IBARA YA 58.

Wazee ni hazina ya taifa letu.
Katiba Inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii.

Ndani ya Katiba Inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika shughuli za kimaendeleo na kijamii, kupata huduma mbalimbali na kulindwa dhidi ya vitendo vya ukatili.

Kupitia Katiba Inayopendekezwa kutawekwa miundombinu na mazingira bora yatakayowawezesha kwenda wanakotaka na kutumia vyombo vya usafiri wa umma kwa gharama nafuu.

TUISOME NA KUIELEWA VEMA.

View attachment 235736
 
Imetulia hiyo Ibara, naamini wazee wetu watapata tulizo kupitia Katiba hii Inayopendekezwa!!
 
Nape alishasema wazee wasubiri kufa..hakuna haja ya kuwekwa kwenye katiba wanajaza kurasa tu
 
Wazee wenyewe wanasinzia tu hapa wapewe fursa gani? Hebu acheni utani bwana..hawa si ndio vidole vinakataa kusoma kwenye bvr!
 
Umefulia wewe kojoa ukalale hapa hapakufai wewe, kama huna hoja tulia kama maji ya mtungini, usilete uchuro wako humu ndani, Katiba yenyewe hata rangi ya cover yake huijui, utajua Sura zake na Ibara? pumzika kijana.
 
Mmmh kuna laana nyingine zinampata mtu kwa kujitakia mwenyewe, wewe umeandika mwenyewe afu unasingizia mtu mwingine eti alishasema, usipandie migongoni mwa wengine kama wewe huna kitu kaa kimya ni uungwana kuliko kufyatuka afu unachafua hali ya hewa humu kwenye forum yetu tunayoiheshimu sana!
 
mleta mada wewe ni punguani kama siyo tahaira. kuna mama mmoja mzee wa 80 yrs ni katibu mtendaji wa sawata kasulu. nilibahatika kuongea nae mwez dec. alilahumu sana kile serkali inachofanya Kwa waze
e wa taifa ili. huyu alikuwa kati ya wazee 20 kitaifa walioonana na spika ata wabunge.wazee walitoa majina ya kuwawakilisha bunge la katiba. kati ya majina pendekezwa hakuna mzee aliyependekezwa. ili kufuta uharo huu mtafute huyu mama anaitwa kokupima isdory ni katibu mstaafu wa ccm wilaya
 
Mtafute wewe na utahira wako huo, unadhani matuc hapa ni sehemu yake? kwani ungetumia lugha ya busara ucingeeleweka? huna hoja wewe kaa kimyaaaa.
 
Niliwahi kuona kwenye TV jinsi wazee kwenye kambi yao huko Tanga wanavyopata tabu ya chakula na kuumwa na kunguni.....nikipigia kura ya ndio hii katiba,hawa wazee watapatiwa huduma stahiki....???
 
wewe usienpenda kaja ndo mimi nasema uongo wako ukome. hakuna chochote kimependejezwa. wazee hawa waliomba angalau kila mzee wa zaidi ya muaka 60 no matter what wapate pension ya angalau 20 elfu ili kupunguza ombaomba. kwa kukusaidia simu yya huyu bibi ni 0786-594 294. hapa utapata abc na si uongo. je wazee wakienda hosp dawa wanapata. pesa za mirad ya wazee zinazotengwa kwenye budget wanazipata. toa uharo
 
Kila mtu muelewa anajibu, mnajidanganya wenyewe, mna nini ninyi ccm.........?
ibara ya 58. wazee ni hazina ya taifa letu. Katiba inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii. ndani ya katiba inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika shughuli za kimaendeleo na kijamii, kupata huduma mbalimbali na kulindwa dhidi ya vitendo vya ukatili. kupitia katiba inayopendekezwa kutawekwa miundombinu na mazingira bora yatakayowawezesha kwenda wanakotaka na kutumia vyombo vya usafiri wa umma kwa gharama nafuu. tuisome na kuielewa vema.View attachment 235736
 
BUNGENI SASA HIVI.....Naibu waziri wa sheria asema siyo vibaya kuwaambia watu wapigie kura ya ndio katiba pendekezwa ingawa muda wa kampeni bado.ANGALIA MGONGANO.......
 
mleta mada wewe ni punguani kama siyo tahaira. kuna mama mmoja mzee wa 80 yrs ni katibu mtendaji wa sawata kasulu. nilibahatika kuongea nae mwez dec. alilahumu sana kile serkali inachofanya Kwa waze
e wa taifa ili. huyu alikuwa kati ya wazee 20 kitaifa walioonana na spika ata wabunge.wazee walitoa majina ya kuwawakilisha bunge la katiba. kati ya majina pendekezwa hakuna mzee aliyependekezwa. ili kufuta uharo huu mtafute huyu mama anaitwa kokupima isdory ni katibu mstaafu wa ccm wilaya

Usijifanye amplifaya eti unajua kutetea watu na kuwasemea, wewe ni mchumia tumbo sio bure haiwezekani ukatuletea story ya Kasulu tena umeiokota mto Bogwe afu unataka tuhararishe uzandiki wako! Kwa taarifa yako Katiba Pendekezwa imeheshimu haki za makundi yote kasome IBARA YA 58 kwenye katiba Inayopendekezwa utaona haki zao acha kutuletea uharo wako kwa uvivu wako wa kufikiri.
 
claudia huwezi kuwa titye au bogwe kama ulivyotaja ukawa kwenye kamati za kitaifa kutetea wazee?kwa kuea niliweka no ya simu kwanin usipige ili ukajiridhisha. ibara ya 58 nimeisoma hakuns lolote. ni sawa na wazee watapata hudums bure kumbe hospital hakuna dawa.kama wewe ni msomi badi ni wale tu wasomi uchwara walioptisha katiba uchwara au kama umesoma utakuwa mlugo generation
 
KAKA ACHA UWONGO BHANA UMEISOMA AU UMEANGALIA PICHA TU? Usidanganye watu bhana ile IBARA IMEONGEA WAZIWAZI KUHUSU HAKIMZA WAZEEE WETU BHANA, KASOME VIZURI TENA USISOME KAMA KASUKU
 
Back
Top Bottom