Wazee wazamani walikuwa wahunikweli

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
Wazee wa zamani sendozi walikuwa wanaita MAKUBAZI hebusoma kuanzia kulia kuludi kushoto, kisha nipejibu
 
Wazee wa zamani sendozi walikuwa wanaita MAKUBAZI hebusoma kuanzia kulia kuludi kushoto, kisha nipejibu

kumbe MAKUBAZI =ZIBA'K? kwel hawa wazee wajanja si wahuni..ndio unaskia mzee mke wangu hebu kuwa makini na MAKUBAZI..ha ha ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…