Wazee wenye watoto wengi hawafi haraka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nimefanya tathmini nimegundua wanandoa wengi waliozaa watoto wengi kuanzia sita au nane au kumi huwa wanaishi miaka mingi wanafikia sitini au sabini.lakini familia nyingi zenye watoto kidogo aidha wawili au watatu huwa wazazi wanakufa wanapotea mapema.kwa hiyo nawasisitiza mzae watoto wengi ili mfike uzeeni.
 
utafiti wa wapi huo mkuu.... AU ZE AMAZONI KOLEJI
 
Ukipiga bao 1 ni sawa umekwenda KM 15, mazoezi tosha hayo.

Mzee wetu anaichungulia 60 sasa hivi.

Babu bado yupo gado.

NB: Huu mtazamo wako unahitaji uthibitisho wa kisayansi
 
Ukipiga bao 1 ni sawa umekwenda KM 15, mazoezi tosha hayo.

Mzee wetu anaichungulia 60 sasa hivi.

Babu bado yupo gado.

NB: Huu mtazamo wako unahitaji uthibitisho wa kisayansi
Mkuu kumbe wewe bado kijana mdogo
 
we nomaaaaa
 
kati ya watanzania wa3, m1 wao ni kichaa.
angalia idadi yenu ndani ya familia halafu unambie kuna vichaa wangapi.
 
Nenda kazae ovyo uone utakavyo konda haraka
 
Kama mzee wako ana 60 inamaana nyie mpo around 30 hivi

Halafu ukute wewe last Born
Mzee aliwahi kuoa akiwa na umri mdogo(20+), na hakuchelewa kuanza kupata watoto.

Japo watoto wa kike ndio waliotangulia kuzaliwa ila na sisi wakiume napo tunafuatia karibu.

Hadi sasa mzee anahesabu vitukuu
 
Hahah poa poa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…