ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimefanya tathmini nimegundua wanandoa wengi waliozaa watoto wengi kuanzia sita au nane au kumi huwa wanaishi miaka mingi wanafikia sitini au sabini.lakini familia nyingi zenye watoto kidogo aidha wawili au watatu huwa wazazi wanakufa wanapotea mapema.kwa hiyo nawasisitiza mzae watoto wengi ili mfike uzeeni.