Mzee mwenzangu, tangu mtoto wa 2000 atake kunipandisha Presha katikati ya mchezo Sina hamu nao tena.Ngoja mzee mwenzangu Grahams apite hapa, yeye alisema na uzee wake akiamua kula anakula watoto wa afumbiliπ€£
Mkuu gari bovu huvutwa na zima
afu tukiwakuta njian mnataka na shikamoo asee nyie wazee hovyo kabisa kuanzia leo no salam umewaponza na wenzakoMkuu gari bovu huvutwa na zima
Yaani unataka na Uzee huu niendelee kudate na Mzee mwenzangu wa miaka 60?
Hata hivyo Wazee tuna mbinu, hapa nina azina ya mbinu 1000+
Hahaha..............msiache kutupa heshima zetu Mkuuafu tukiwakuta njian mnataka na shikamoo asee nyie wazee hovyo kabisa kuanzia leo no salam umewaponza na wenzako
Wenzako wa umri wako, tunatembea na wanawake wa kijiniHebu tupeane uzoefu...kumtongoza mwanamke wa umri 60 +...... nini matokeo? Je? Kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho.......Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza akanivunjia heshima....wasiwasi wangu wanawake huongea sana.πππ
HaweziHebu tupeane uzoefu...kumtongoza mwanamke wa umri 60 +...... nini matokeo? Je? Kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho.......Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza akanivunjia heshima....wasiwasi wangu wanawake huongea sana.πππ