Wazee wenzangu 60 +

Wazee wa hovyo , wazee wasiotaka salamu kabisa akikuona anawahi kukusalimia ili usimpe shikamoo ukijikoroga tu kumpatia shikamoo anakunja sura . mkuu kwa umri wako nilitarajia uwe mchamungu kweli kweli
 
Mkuu kwamba wanawake wote wana template moja ? Yaani ukishapata formula inayofanya kazi kwa Asha na Halima hata Mwajuma na Tatu pia itafanya ?!!!
 
Wengine tunaenda kununua Corner Bar vitoto vya 'afumbili' hakuna usumbufu,bei poa ufundi mwingi
Hahaha..............ni kweli hivyo vitoto ni vifundi kweli, changamoto yao wakikutana na sisi Wazee age imeenda hawachelewi kutupandisha Presha Kwa ufundi wao πŸ€—πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…