Wazee wenzangu 60 +

Wazee wenzangu 60 +

Wazee wa hovyo , wazee wasiotaka salamu kabisa akikuona anawahi kukusalimia ili usimpe shikamoo ukijikoroga tu kumpatia shikamoo anakunja sura . mkuu kwa umri wako nilitarajia uwe mchamungu kweli kweli
Shikamoo naitikia vizuuuri marhabaan....kimsingi namzungumzia mtu mzima mwenzangu 60+ ana mjukuu mkubwa kama wewe....Sina haja na vibinti a.k.a alfu mbili.....manake bado havijawiva.....vina harufu fedenge...🙂
 
Hebu tupeane uzoefu...kumtongoza mwanamke wa umri 60 +...... nini matokeo? Je? Kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho.......Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza akanivunjia heshima....wasiwasi wangu wanawake huongea sana.🙂🙂🙂
Sasa mwanamke miaka 60+ halafu 'fridge lake haligandishi', basi huyo ni shangingi kizabizabina asiyefaa hata kwa kulumangila.

Sisi tunajua mwanamke wa umri huo ni mzuri sana kwa mapenzi maana hujitoa na kulea, ndiyo maana vijana wadogo wanawapenda na kuwafukuzia.

Mchunguze vizuri kama katulia, umri huo kuwa naye mbona unainjoi?
 
That's Bravo Roger....
Shukran nyingi sana kwako....
 
Hivi miaka 60+ bado nguvu za ku do zipo
SI bora ustaafu kudo urepee mwili kwa protin ulizopoteza miaka yote ya ujana

Wahuni nao huzeeka
Hivi miaka 60 mkuu unaona ni mkongwe sana siyo?

Mungu akikuweka hai, umri huo ni miaka michache sana, unaipata bado mwili una nguvu za kufanya kila kitu.

Na unakupata bila mhusika kuelewa umri huo umeupataje, ila kama una maradhi, unakuwa ni mzee usiyeweza jambo lolote.
 
Mzee mwenzetu unataka kufa au😂😂😂😂achana na pyapuchy ,huu ni wakati wa kurudi kwa MUNGU ili tufikie mwisho mwema wewe vipi
Mzee mwenzetu unatuaibisha😏😏😏
Cc Fake P
Hilo ni hitaji muhimu kama vile chakula 👍
 
Ameshafikia Menopause unapata nini sasa akikubalia,au ana kibunda?
 
Hebu tupeane uzoefu...kumtongoza mwanamke wa umri 60 +...... nini matokeo? Je? Kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho.......Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza akanivunjia heshima....wasiwasi wangu wanawake huongea sana.🙂🙂🙂
Huwezi tangaziwa, wanaotangaza ni under 18, kibuti unakula Kiutu uzima tu yanaisha, na maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom