Wazee wenzangu 60 +

Wazee wa hovyo , wazee wasiotaka salamu kabisa akikuona anawahi kukusalimia ili usimpe shikamoo ukijikoroga tu kumpatia shikamoo anakunja sura . mkuu kwa umri wako nilitarajia uwe mchamungu kweli kweli
Shikamoo naitikia vizuuuri marhabaan....kimsingi namzungumzia mtu mzima mwenzangu 60+ ana mjukuu mkubwa kama wewe....Sina haja na vibinti a.k.a alfu mbili.....manake bado havijawiva.....vina harufu fedenge...πŸ™‚
 
Sasa mwanamke miaka 60+ halafu 'fridge lake haligandishi', basi huyo ni shangingi kizabizabina asiyefaa hata kwa kulumangila.

Sisi tunajua mwanamke wa umri huo ni mzuri sana kwa mapenzi maana hujitoa na kulea, ndiyo maana vijana wadogo wanawapenda na kuwafukuzia.

Mchunguze vizuri kama katulia, umri huo kuwa naye mbona unainjoi?
 
That's Bravo Roger....
Shukran nyingi sana kwako....
 
Hivi miaka 60+ bado nguvu za ku do zipo
SI bora ustaafu kudo urepee mwili kwa protin ulizopoteza miaka yote ya ujana

Wahuni nao huzeeka
Hivi miaka 60 mkuu unaona ni mkongwe sana siyo?

Mungu akikuweka hai, umri huo ni miaka michache sana, unaipata bado mwili una nguvu za kufanya kila kitu.

Na unakupata bila mhusika kuelewa umri huo umeupataje, ila kama una maradhi, unakuwa ni mzee usiyeweza jambo lolote.
 
Mzee mwenzetu unataka kufa auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚achana na pyapuchy ,huu ni wakati wa kurudi kwa MUNGU ili tufikie mwisho mwema wewe vipi
Mzee mwenzetu unatuaibisha😏😏😏
Cc Fake P
Hilo ni hitaji muhimu kama vile chakula πŸ‘
 
Ameshafikia Menopause unapata nini sasa akikubalia,au ana kibunda?
 
Huwezi tangaziwa, wanaotangaza ni under 18, kibuti unakula Kiutu uzima tu yanaisha, na maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…