tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
UDSM pale karibu na viwanja vya long tennis kulikuwa na mshikaji (JAMES)anafundisha sijui sasivi kama yupokuanza moja kabisa hii kitu mahala gani wapo. vzr. angalau. tupate confidence ya kumzibiti kibaka
kung fu ndo baba ya martial arts zote,,
Krav Maga anapiga kombati karate.Wapi wanafundisha Krav Maga hapa bongo?
Nenda Kawe tanganyika pekasiAise Mkuu kwa dsm wap naeza kupata sehemu nzuri nkajifunze Shotokan? kwa self defence.. nlifundishwa mtaani but nataka proffesional zaid yenye belt
Unakosea kumnukuu mtu katikati bila kwenda kwe chanzo ama swali lililozaa hili jibu,nina hofu hata na uelewa wako juu ya karate,yank ni ww siyo karateka kabisa umedandia gari na mapenzi yalokuzidi juu ya unachodhani bora,Kuna mwamba anakwambia za maonyesho kisa zile zana za mapambano zinapambwa na vitambaa...nimemuacha maana anachukulia kung fu ni za kwenye picha mwambie aende china kuona watu wanavyopractise hiyo kitu hasa kwenye zile temples za monks
Unakosea kumnukuu mtu katikati bila kwenda kwe chanzo ama swali lililozaa hili jibu,nina hofu hata na uelewa wako juu ya karate,yank ni ww siyo karateka kabisa umedandia gari na mapenzi yalokuzidi juu ya unachodhani bora,
ZogoHivi mimi na wewe nani mwenye mahaba na anachoona bora maana umeshikilia bango karate kila sehemu...ok wewe ndio mwenye uelewa pekee na michezo ya mapigano endelea kufurahisha thread mkuu
Office ntaiona au namwona nan hapo mkuu,embu nipe clear directionNenda Kawe tanganyika pekasi
Hata ukiangalia Tom Yum Goong zile teknik za kuvunja alizokuwa anatumia pale mwishoni mwa movie..utajua kuwa huyo mtu anajua,sio maigizo..ANAJUA.Ana mkanda mweusi kwenye Tai kwondo,Judo na Aikido.Give the man his respectRudi nyuma kwe historian ya karate uone km unalosema ni sahihi
Mkuu sidharau uwezo wa huyu mtu,jamaa ni karateka wa kiwango cha juu sana,wala sidharau michezo mingine maana yote ni kwa ulinzi na inasaidia ikitumika sahihi,nnachopinga ni kudai eti shotokan karate ni mchezo wa maonesho,shotokan iwe ya shoo?,wakati ni moja ya michezo migumu na inayotaka uvumilivu na ugumu wa juu kabisa,sifa ya mcheza shotokan ni ununda afu mtu anasema shotokan ni ya show!!!Hata ukiangalia Tom Yum Goong zile teknik za kuvunja alizokuwa anatumia pale mwishoni mwa movie..utajua kuwa huyo mtu anajua,sio maigizo..ANAJUA.Ana mkanda mweusi kwenye Tai kwondo,Judo na Aikido.Give the man his respect
Mimi sijawahi zungumzia Shotokan.Other did..Mkuu sidharau uwezo wa huyu mtu,jamaa ni karateka wa kiwango cha juu sana,wala sidharau michezo mingine maana yote ni kwa ulinzi na inasaidia ikitumika sahihi,nnachopinga ni kudai eti shotokan karate ni mchezo wa maonesho,shotokan iwe ya shoo?,wakati ni moja ya michezo migumu na inayotaka uvumilivu na ugumu wa juu kabisa,sifa ya mcheza shotokan ni ununda afu mtu anasema shotokan ni ya show!!!
Nko irnga nambie niwapi hapo mkuuNipo iringa, kuna master yupo pia, alikuaga mjeda na kajifunza Israel .. Karibu
Kombat nini sasa malizia mkuuNapenda kujua combat
Watu wanachanganya kuhusu hizi martial arts, ieleweke tu kuwa kila aina ya martial arts ni nzuri ikiwa tu mhusika atafuata na kuifanya kuwa sehemu ya maisha yake.
Pia ni vema kufahamu tu kuwa kuna ngumi/martial arts za kawaida ambazo raia wote wanaruksa ya kujifunza au kucheza kama self defense na sports mfano wa hizo ni
1.karate
2.taekwondo
3 . kick boxing
4.judo
N.k.
Hizo ni baadhi tu ya sport martial arts kwa wote japo zipo nyingi,
Lakini kuna nyingine ni kwa ajili ya mapigano ya kijeshi (kombat martial arts) mfano ni:-
1 . kombat karate.
2. Judo kombat
3. Krav maga n.k
Hizi ni za kupiga na kuua na haziruhusiwi kufundishwa uraiani bali ni kwa maaskari tu,
Mfano TPDF (hasa commando unit) iko advanced zaidi kwa hapa Tanzania, pia polisi baadhi hupewa mafunzo hayo hasa wale police special forces (red Barret) na si wote,
NB: ujuzi wa ngumi sio tu kujifunza bali pia utayari wa mhusika na utulivu kifkra, unaweza ukafuzu vizuri lakini bila ujasiri na utulivu utapigika.