Mmmh kwanini unasema hvo mkuushotokan ni mchezo wa kitozi sana.. asikwambie mtu
Huu mchezo hauna kata za hatari ndio maana nimesema hivyo mtaalam... Hata mapigo yake sio deadly na ukikutana na mtu alie master boxing vizuri anakuondoa.Mmmh kwanini unasema hvo mkuu
Mkuu elewa kuwa boxing hasa kick box ni nzuri na ni simple sana lakini kama unavyosema kuwa aliecheza shotokan anaweza kupigika, lakini pia inategemea na ujuzi wa mhusika. Kick boxing is simple to practice and more successful compared to other martial arts as it is a hybrid of them. Lakini stance za kick box zinaanzia kuliaHuu mchezo hauna kata za hatari ndio maana nimesema hivyo mtaalam... Hata mapigo yake sio deadly na ukikutana na mtu alie master boxing vizuri anakuondoa.
Unataka kwaajili ya sports au self defense? Jiujitsu zinafanana sana na judo, lakini kwanini uhangaike kutafuta waBrazil wakati martial arts zipo nyingi na ziko poa tu kwa ajili ya self defense na sports?Nimejaribu sana kutafuta dojo ya jiujitsu lakini sija pata bahati kwa hapa Dar. Nilienda mpaka ubalozi wa Brazil labda watuunganishe na Master wa Brazilian Jiujitsu lakini sikufanikiwa. Jiujitsu origin yake ni Japan lakini napenda ile ya Brazil. Sijui kuna anaye jua wapi wanafundisha kwa hapa Dar?
Aisee kumbe nilibahatika sana kufundishwa KARATE KOMBAT na JUDO KOMBAT, pia hata Master aliyekua ananifundisha alinionya kabisa kwamba, "HII NI MICHEZO YA KIJESHI USITHUBUTU KUPIGANA HOVYO"Watu wanachanganya kuhusu hizi martial arts, ieleweke tu kuwa kila aina ya martial arts ni nzuri ikiwa tu mhusika atafuata na kuifanya kuwa sehemu ya maisha yake.
Pia ni vema kufahamu tu kuwa kuna ngumi/martial arts za kawaida ambazo raia wote wanaruksa ya kujifunza au kucheza kama self defense na sports mfano wa hizo ni
1.karate
2.taekwondo
3 . kick boxing
4.judo
N.k.
Hizo ni baadhi tu ya sport martial arts kwa wote japo zipo nyingi,
Lakini kuna nyingine ni kwa ajili ya mapigano ya kijeshi (kombat martial arts) mfano ni:-
1 . kombat karate.
2. Judo kombat
3. Krav maga n.k
Hizi ni za kupiga na kuua na haziruhusiwi kufundishwa uraiani bali ni kwa maaskari tu,
Mfano TPDF (hasa commando unit) iko advanced zaidi kwa hapa Tanzania, pia polisi baadhi hupewa mafunzo hayo hasa wale police special forces (red Barret) na si wote,
NB: ujuzi wa ngumi sio tu kujifunza bali pia utayari wa mhusika na utulivu kifkra, unaweza ukafuzu vizuri lakini bila ujasiri na utulivu utapigika.