Wazee wetu moi na kibaki wapo kimya sana

Wazee wetu moi na kibaki wapo kimya sana

Ahaaa haaa haaa
Sijakuelewa unachomaanisha. Inamaana hata Ruth akimjongelea alimuita hivyo??
Mbona ALIKUWA anamkubali SANA KIKWETE MPAKA KUNA mtaa huku unaitwa Mwai kibaki.
Ruth? Nadhani unamaanisha aliyekuwa 'Prisident' wetu, mwendazake Lucy Kibaki. Ubabe wote wa Kibaki ulikuwa unaisha wakati yupo kando ya Lucy. 🙂 Mkuu, mabalozi walikuwa wanalia lia sana wakisema Kibaki hakuwa na muda nao. Waziri mkuu Raila alikuwa anawachwa 'hanging' hata kwenye vikao ambavyo Kibaki mwenyewe ndio alikuwa anaviitisha. Yaani watu walikuwa wanaiona ikulu kwenye nyewz..
 
Aliyekufundisha kiswahili kaharibu Sana, badala ya kujibu ulichoitiwa unatukashifu

Niliitwa lakini kabla ya kuitika ikabidi nisome mnavyotiririka nikakuta ni zile pumba zenu za kila siku.....
Halafu kwenye maisha usitegemee kila mtu akujibu majibu unayoyataka wewe, sote tuna mitazamo tofauti kimaisha.
 
Bootlickers na Ushawishi wa Kimataifa wapi na wapi mkuu? Hao viongozi huchaguliwa kwa tribal interests, never competencies, Unlike them,
Late Nyerere, Ben.Mkapa, J.Kikwete are still International Icons, their leadership and Influence continues to their death, the only thing Kenyan leaders are good at is stealing.
We dont suck our leaders dicks like you guys when you are out of office nobody gives a damn sheet about what they do. .....we used to do that back in the 80s but we nolonger do that.
 
We dont suck our leaders dicks like you guys when you are out of office nobody gives a damn sheet about what they do. .....we used to do that back in the 80s but we nolonger do that.
Viongozi wetu wastaafu wanawashwawashwa sana lakini wa kwenu wapo kimya kabisa
 
Back
Top Bottom