pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ruth? Nadhani unamaanisha aliyekuwa 'Prisident' wetu, mwendazake Lucy Kibaki. Ubabe wote wa Kibaki ulikuwa unaisha wakati yupo kando ya Lucy. 🙂 Mkuu, mabalozi walikuwa wanalia lia sana wakisema Kibaki hakuwa na muda nao. Waziri mkuu Raila alikuwa anawachwa 'hanging' hata kwenye vikao ambavyo Kibaki mwenyewe ndio alikuwa anaviitisha. Yaani watu walikuwa wanaiona ikulu kwenye nyewz..Ahaaa haaa haaa
Sijakuelewa unachomaanisha. Inamaana hata Ruth akimjongelea alimuita hivyo??
Mbona ALIKUWA anamkubali SANA KIKWETE MPAKA KUNA mtaa huku unaitwa Mwai kibaki.
Aliyekufundisha kiswahili kaharibu Sana, badala ya kujibu ulichoitiwa unatukashifu
We dont suck our leaders dicks like you guys when you are out of office nobody gives a damn sheet about what they do. .....we used to do that back in the 80s but we nolonger do that.Bootlickers na Ushawishi wa Kimataifa wapi na wapi mkuu? Hao viongozi huchaguliwa kwa tribal interests, never competencies, Unlike them,
Late Nyerere, Ben.Mkapa, J.Kikwete are still International Icons, their leadership and Influence continues to their death, the only thing Kenyan leaders are good at is stealing.
Viongozi wetu wastaafu wanawashwawashwa sana lakini wa kwenu wapo kimya kabisaWe dont suck our leaders dicks like you guys when you are out of office nobody gives a damn sheet about what they do. .....we used to do that back in the 80s but we nolonger do that.