Wazee wetu walipambana na mbu namna gani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
 
Mbu wa siku hizi hawana madhara walibadilishwa genetic ni mbu wa kisasa wasio na madhara. Zamani kuugua malaria 🦟 ilikuwa KILA mara tofauti na siku hizi
 
Jamiibya wamasai kuna mchanganyiko wanajipaka porini wanaogopwa. Kila jamii iliishi kutokana na mazingira yake, naamini kipindi hicho walikua na namna
 
Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
Rudi rudi nayo nyuma kidogo hiyo histori, ungeuliza walioishi enzi za kati za mawe, walioishi mapangoni walisolve namnagani bila kuangamia kwa maradhi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
Hakukuwa na mbu na hata kama walikuwepo kulikuwa na dawa za asili za kuwafukuza na mpaka leo zingine bado zipo.. Mfano karai la maji lililotiwa mdalasini ni dawa ya kufukuza mbu ndani ya nyumba
 
Mbu wa siku hizi Ni wakuda kinyama, wanakuja mpk na chupa za chai'thermos'.Wanakunyonya damu na nyingine wanabeba kwny chupa Yao na kusepa zao.
 
Labda ilikua usiku wanafungua milango mbu wakiingia ndani wanawafungia alaf wao wanalala nje
 
Hakukuwa na mbu na hata kama walikuwepo kulikuwa na dawa za asili za kuwafukuza na mpaka leo zingine bado zipo.. Mfano karai la maji lililotiwa mdalasini ni dawa ya kufukuza mbu ndani ya nyumba
Nipe hiyo mbinu ya asili kufukuza mbu maana kulala na net ni mateso
 
Back
Top Bottom