Wazee wetu walipambana na mbu namna gani?

Kuna vitu walikua wanapakaa alafu hawaogi...
 
Mbu wa siku hizi hawana madhara walibadilishwa genetic ni mbu wa kisasa wasio na madhara. Zamani kuugua malaria 🦟 ilikuwa KILA mara tofauti na siku hizi
Inazungumzia zamani ipi!!?..miaka ya 50-60 huko hapakua na malaria,mbu walikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…